7m

Cinema

Maua Sama
Baada ya Baba Jeni (Remix) akiwa na Nay Wa Mitego sasa amekuletea Ep yake inayokwenda kwa jina la CINEMA, ikiwa na ngoma 07 zilizo pikwa zikapikika kisawa sawa, Unaachaje sasa kutokusikiliza muziki mzuri kutoka kwa mwanadada Maua Sama, akiwa ameshirikisha wasanii wakubwa Alikiba, Jux,.. Fanya kubofya leo kusikiliza muziki mzuri kutoka hapa hapa kisima chako pendwa cha burudani Boomplay Music, Twende kazi sasa. ...