7m

Paradiso

Stamina (TZ)
PARADISO moja kati ya Album kali ya Hip Hop kutoka kwa mkali wa michano STAMINA, PARADISO Album wameshirikishwa wasanii mbali mbali Walter Chilambo,Linah Sanga, Barakah The Prince, na wengine wengi, Kuwa wa kwanza leo kusikiliza ufundi uliotumika kwenye Paradiso Album inayopatikana hapa hapa BOOMPLAY MUSIC , Pakua na Burudika zaidi na zaidi. ...