9.2m

Sweet Pain

Kayumba
Baada ya ukimya wa muda mrefu leo fundi wa muziki, fundi wa sauti na mwandishi mzuri wa ngoma zake kaachia "SWEET PAIN" Ep (06) akiwa ameshirikisha wasanii mbali mbali Nadia Mukami, Marioo nk. Kuwa wa kwanza sasa kupakua(Download) na kuburudika na Sweet Pain Ep kutoka hapa hapa Boomplay Music ikiwa imesukwa na mkali Kayumba, Enjoy Muziki Mzuri leo. ...