67.8m

Only One King

Alikiba
Album uliyokua unaisubiri kwa hamu "ONLY ONE KING" kutoka kwa Alikiba A.k.a King Kiba sasa inapatikana hapa hapa kisima cha burudani Boomplay Music. ONLY ONE KING Album ina ngoma 16 za moto akiwa ameshirikisha wasanii wakubwa kutoka Africa Nyanshinski, Sarkodie, Sauti Sol, Khaligraph Jones, Patoranking na wengine wengi, Pia unaweza pakua (Download) na kusikiliza album hi muda wote,burudika sasa na muziki mzuri enjoy. ...