Nidonoe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nidonoe - Rich Mavoko
...
Ayaaa
I I I want to to touch your body
nidonowe
I want you bebi
nidonowe
oya whine it for me
nidonowe
asa nyonga bebi
nidonowe
twende mpaka chini
nidonowe
nataka pima geje
nidonowe
na ngada na dekenyi
nidonowe
mpaka kwenye bedi
nidonowe
ayiii
?? ???? ?? ??
Naweka nukta,nakibanda najenga
ooh niduka, navisenti vyampenda
alivyo binuka, namvalia kilemba
kame chanuka, nakabananisha chemba
Iyo lips njeni na joly, you are my African lady
kasura sura ka kiendi ka kapa choli(choli)
kana mambo ya kyenyeji
tamu ka kipolo,ado, anakisokota
anafinya godoro, ado, anakisokota
ananichezesha ndombolo,ado, anakisokota
muuno fulani wakibogolo, ado, anakisokota
I want to to touch your body
nidonowe
I want you bebi
nidonowe
oya whine it for me
nidonowe
asa nyonga bebi
nidonowe
twende mpaka chini
nidonowe
nataka pima geje
nidonowe
na ngada na dekenyi
nidonowe
mpaka kwenye bedi
nidonowe
Risasi kama mia na mimina eeh
eeeeh na mimina
kifo cha mende na mimina ooh
ooooh na mimina
Una ni nyi nyiga kwa michezo yakoo
na ulivyo na figure nimefika kunakoo
Yani kimanu manu kingwengwe
unanirudisha na sengenge
nimepandwa na hamu nalenge
ebu salura ilo tenge
Tamu ka kipolo, ado, anakisokota
anafinya godoro, ado, anakisokota
ana ni chezesha ndombolo, ado, anakisokota
muuno fulani wakibogolo, ado, anakisokota
I want to to touch your body
nidonowe
I want you bebi
nidonowe
oya whine it for me
nidonowe
asa nyonga bebi
nidonowe
twende mpaka chini
nidonowe
nataka pima geji
nidonowe
na ngada na dekenyi
nidonowe
mpaka kwenye bedi
nidonowe
??????????????
Muhuni na kabamba nkape nachi
na kamia oooh, na kamia
mpira wa kona na piga dochi
na kamia oooh, na kamia
uta utakuta ata kwa tochi
na kamia oooh, na kamia
nimepata mijuzi na mwaga pochi
na kamia oooh, na kamia
???????
Ayaa