I Wish (Acoustic Version) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Wish (Acoustic Version) - Kusah
...
mmmmmh baby
mmmh
ok
baby ntakupa moyo ntakupa roho yani mwili mzima
ningekupa gari ningekupa doh
ila mi ndo sina
na ukizidi sana nitakupa roho
unibebe mzima
ukitaka haba tutajaza ndoo
beiby
natamani waishela mi nivae
upendeze na ulivyo chombo wakushangae
natamani tupewe mbawa bebi tupae
tufike mbali beby wee bebi wee
aya go we bebi ringa
ikija mvua bebi mi ntakukinga
my baylando basi pinda
kirudi kwa nyumba nakukinga
hayago bebi ringa
kija mvua beby ntakukinga
baylando basi pinda
kirudi kwa nyumba nakukinga
yaani i wish
leo tulewe mpaka tubebwe
i wish
nimwone lopa akiruka debe
yaani i wish niwite nasib aimbe jeje
i wish our wedding our wedding
ahaaa
mmmmmh
mmmmmh baby
mmmmmh
unaa una furaha
una raha
wenye chuki watazirai
watafupa watakosa raha
basi give me more
unapokwenda baby give me more
taratibu uko nyuma kuna shimo
mmmmmh
utamdondosha wee
paka mapepe
waambie waache nitete
joto jipepe
kisha tule mpepe
haya go baby ringa
ikija mvua baby mi ntakukinga
baylando basi pinda
kirudi kwa nyumba nakukinga
haya go baby ringa
kija mvua beby ntakukinga
baylando basi pinda
kirudi kwa nyumba nakukinga
yaani i wish
leo tulewe mpaka tubebwe
i wish
nimwone ua paka akiruka debe
yaani i wish
nimwite nasib aimbe jeje
i wish our wedding our wedding
ahaaa