Nadondosha ft. Ruby Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Nadondosha ft. Ruby - Kusah
...
.....
ooohooo
o baba siku hizi bila pesa hakuna mahaba
japo sawa unakaba leta hata kidunchu kwangu sio haba
oooh baba siku hizi bila pesa hakuna mahaba
japo sawa unakaba leta hata kidunchu kwangu sio haba
me mwenyewe mzuri Kama Nini nahitaji manyenyekeo
eeh Yani me mzuri Kama nn naitaji matunzo
mwanaume gani unalingia jina
nyuma huna we hata kiwanja huna
gari huna hata pikipiki huna kaka utaniweza wapi wee
mwanaume gani unalingia jina
nyumba huna we hata kiwanja huna
gari huna hata pikipiki huna kaka utaniweza wapiii
nadondosha(dondosha dondosha dondosha)
naachia (nadondosha dondosha dondosha)
nadondosha (dondosha dondosha dondosha)
naachia nadondosha (dondosha dondosha dondosha)
Yani nilale mlango wazi hati liziki si yangu
mwisho wa siku nipate marazi
nilaumu moyo wangu
mwanamke gani huna dogo kila kitu nikikupa unazogo
hata Kama nikikosa kidogo tu unanuna
siku hizi ndani Kama gogo
ati anitaki anataka vigogo hata Kama nikileta kidogo anaguna guna
eeeeeeh mssssiii
mwanamke gani unalingia jina
mume huna we hata mchumba huna
busara huna we hata heshima huna Dada utanipa wapi mie
mwanamke gani unalingia jina
mume huna we hata mchumba huna
busara huna we hata heshima huna Dada utanipa wapi
nadondosha (dondosha dondosha dondosha)
naachia nadondosha (dondosha dondosha)
nadondosha (dondosha dondosha dondosha)
naachia nadondosha (dondosha dondosha dondosha)
......
mwanaume gani unalingia jina
nyumba huna we hata kiwanja huna
gari huna hata pikipiki huna kaka utaniweza wapiii
mwanamke gani unalingia jina
mume huna we hata mchumba huna
busara huna we hata heshima huna Dada utanipa wapi mie