Patrol Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Patrol - Wakadinali
...
Kama unajua mkondo tufollow exit lot saa ingine si huingia molo
Mono stereo hatujali si bora tu turecordie vocals
Photo moto highlights adi siku izi wanapose kwa koto
911 wanamwok coz ya mwisho youths walinyuria mokoro
(pah! pah! pah!)
Manduru si huziskia hatukujua ni wezi
labda auntie ako nditni anapigwa kimechi
Life kua tipsy ni crazy kuna ule
underage alipatiwa ukedi
Ready or not
si tukitokea iteni mavedi
Hauskii alifire na akahata tukamgeuzia sai ako langata bare pop faster mtaratara si hatuna time ya mangata
Uongo unakata utaacha kukana naona una lugha ya makanga
Dexter ilimarwa sema kucatch up kadera alihepa mambanga
Patrol patrol kwa ndege
mbaru na hata kanjo (yoh)
(wiuu! wiuu! wiuu!)
naskia kuna murder ndani ya plot
knock knock knock sato kupeep naona DCI pun me door
(wiuu! wiuu! wiuu!)
naskia kuna murder ndani ya plot
(×2)
(yoh, yoh)
Walidhani mi ni John Kiriamiti
ilikua nifungue but wangenishika
key chini ya kiti spliff kwa meza
Hao sio wa kuwabribe na tenga
scene ilipigwa sogi alirenga
Blacker yard anapandisia raid on labda swag anaficha raider
Neighbour jana aliniandalia pweza
d**k ndani ya p**sy driller direngwa
May back mi sikua na pesa sai namanifest kitu ka maybach
Daughter ka Leila so ukinicross mangumi ngumi ka payback
Raruka ka tailor area flani mwere anatepwa na ketepa
Na after kuipepeta make sure unaambia uyo b**ch "see you later"
Pereka pereka unajionanga mzing kumbe wee ni hater
Makolo kwa mrenga na kuna jeshi imechafua bling hautapenda
Na sijaai ona mkeka tangu ramza but Jah ananipenda
Patrol patrol kwa ndege mbaru na ata kanjo
(wiuu wiuu wiuu)
naskia kuna murder ndani ya plot
Knock knock knock sato kupeep naona DCI pun me door
(wiuu wiuu wiuu)
naskia kuna murder ndani ya plot
(×2)