Sijawahi Ona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Sijawahi Ona - Paul Clement
...
Sijawahi Ona
Sijawahi Ona
Mungu Anaye
Namna hii
Namna hii
Tena
Sijawahi Ona
Sijawahi Ona
Mungu Anaye
Namna hii
Namna hii
Kwenye Shimo la Simba
Ulifunga vyinywa vyao
Sijawahi Ona
wokovu namna hii
Kwenye Tanuru la moto
Hawaku teketea
Sijawahi ona
Sijawahi Ona
wokovu namna hii
Kwenye bahati ya shamu,
Ulifanya njia Sijawahi ona
Sijawahi Ona
wokovu namna hii
Kweli Sijawahi ona
Sijawahi Ona
Sijawahi Ona
Mungu Anaye
Namna hii
Namna hii × 4