Moyo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Moyo - Vanessa Mdee
...
vee money on the track yeeah
*1 verse
moyo unanikosea
moyo unanikosea
nakaa na wewe ,natembea na wewe, nalala na wewe bado unanikosea
zungumza na mimi mchana
zungumza na mimi usiku
kama ifai hata ndotoni tuu mmmh
* Chorus. *
usishindane na kichwa aaah
tumalizane yakaisha aaah
moyo nirudishie maisha aah
dukuduku limekwisha..
moyo unanikosea ×2
moyo unanikosea moyo,
moyo unanikosea
{moyo unanikosea we moyo
moyo unanikosea basi moyo unanitoacha}×2
*2 verse
umenyadhibu chozi,tiba yangu
we haya
umeziaribu zote hisia zangu basi sawa
moyo mbona umenitoa chambo
moyo we hunaga chanjoo
moyo umenifanya pango
moyo huishiwi mipango
waongo wote unawaleta kwangu
wanaochit nao ni wakwangu
walevi wote nao ni wakwangu
mbona unajitesaaa
**chorus**
usishindane na kichwa.......