Kazi Iendelee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kazi Iendelee - Zuchu
...
paukwa pakawaa, Leo nna hadithii,
nataka kusimulia , nataka kusimulia,
ilikuwa sawa kumbe kuzaliwa Binti,
Leo nijajivunia , leo nijajivunia,
alianza umakamu , ni kubwa yake nidhamu,
katiba ikamlazimu, kuingia madarakani,
jina lake (mamaaa....),
Samia Hassan Suluhu (mamaaa....),
ndo raisi wanguu (mamaaa...)
ndo raisi wa Tanzania,
aiyolela (mamaaa...),
aiyolela (mamaaa...),
aaiiiyolela(mamaa..),
kazi iendelee,
aiyolela (mamaaa...),
aiyolela (mamaaa...)
aiyolela (mamaa...),
kazi iendelee
ee ee eeh eeh eh eh eheeh!.
Ewe molaa,
wakimtoa Imani , Mpe nguvu na ujasiri,
mkumbushe yeye nani, yeye ni mama kamili,
harambee, harambee, mama tumpambe,
anaweza mamaa, anaweza sanaa ah aaah,
jina lake,
Samia Hassan Suluhu,
ndo raisi wanguu,
ndo raisi wa Tanzania,
aiyolela (mamaaa...),
aiyolela (mamaaa...),
aaaiiyolela (mamaaa...),
kazi iendelee,
aiyolela (mamaaa...),
aiyolela (mamaaa...),
aiiiiyolela (mamaaa...),
kazi iendelee.