Nangoja Baraka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nangoja Baraka - Lynder Matiko
...
there come amiracle ooo yeee ooo oo yee
nimesikia wengi wakisema umewabariki nauliza mbona mbona Mimi
nimesikia wengine wakisema umewatendea nauliza mbona yangu lini
ulivyowatendea Nami nitendee ulivyowabariki Nami nibariki
Nami niseme umenitendea ooo
Nami nisifu umenibariki
ooo nangoja baraka zako ili niitwe mbarikiwa yeyee
nangoja baraka zako niseme nimeinuliwa nawe
nangoja baraka zako baba nangoja nangoja nangoja
nangoja baraka zako
naona macho yakinitazama kwa upole
naona macho yakinitazama kwa upendo
yakisema nisikate tamaa yakinisihi nisivunjike moyo
Kuna ushindi nisilie Kuna ushindi nisihofu
Kuna ushindi ng'ambo ya pili baba naomba usinipite
ulivyowatendea Nami nitendee ulivyowabariki Nami nibariki Nami niseme umenitendea
Nami nisifu umenibariki oooo
nangoja baraka zako ili niitwe mbarikiwa yeyee
nangoja baraka zako niseme nimeinuliwa nawe
nangoja baraka zako baba nangoja nangoja nangoja
nangoja baraka zako
written by Deborah inzera follow on boomplay