Nyumba Kubwa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Nyumba Kubwa - Menina
...
kwani vipi unandai
huna jipya mwenzi wangu
hadi kikombe cha chai
Una hasara kwa mume wangu
mwenzako nalala nae
namka nae
mipango napanga nae
punguza zako kelele
unaongopewa weeh
eti mijako ni bure
Naona hujajitambulisha
tayari nimeshakujua
simu unajipijisha
usiku unatusumbua
usiku wa manane
mwenzako nachuma ndimu
punguza usebene
untukaa tasdimu
weh nyumba ndogo weeh
punguza show na mdomo
ndio maana haongei tena
punguza show na mdomo
weh nyumba ndogo weh
punguza show na mdomo
hanajipya amekwamaa
punguza show na mdomo
kama ànakupenda kweli
asingerudi kwangu
usiku nilale naye e e
nimezipata habari
anataja jina langu
akiwa ndani na wewe iyee
make up za buku buku
zitakukausha Sura
supu miguu ya kuku
bwana hilo lamkera
me nampa visosomoro
sambusa za nyama
urojo wa Babu Toro
ndo mana anakwama
weh unamlisha viporo
ubwabwa wa Jana
matuzo yako Doro
Bibie umekomdeana
usiku wa manane
mwenzako nachuma ndimu
punguza usebene
unatukaa tasdimu
weh nyumba ndogo weeh
punguza show na mdomo
ndo mana haongei tena
punguza show na mdomo
weh nyumba ndogo weeh
punguza show na mdomo
hanajipya amekwamaa
punguza show na mdomo
mkopi hanunui kitonge anapenda
mja hujui baraka madanga
bwigira bwigira kaa pembeni
ooh mama
bwigira bwigira kaa pembeni
huna jipya bwana
bwigira bwigira kaa pembeni
tumba zimeshindikana
bwigira bwigira kaa pembeni
waleo atakula leo
wakesho utajua mwenyewe
menina hapa
nyumba kubwa