Fikra Za Bahati Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Fikra Za Bahati - Bahati
...
Mbaya mbaya mbaya mbaya
Hii ni mbaya
Mi nimbaya
Teddy B
Mi ni Bahati
Mamako akinipenda niite baba wa kambo
Wasanii kwa uwanja na deal nao kirambo
Uliza sauti sol founder wa kufungua lebo
Wakati wanasign nisha dismiss kitambo
Mziki sio kiki makali kama panga
Mwisho wa maneno ringtone nakuvisha kanga
Pole octopizzo walikuendea suba wanga
Mzunga ulipata ukashindwa kujipanga
Sina urafiki wa mtoto peremende
Leo mtajua siri ya kifo cha mende
Mr Omollo kwa gym matembe
Daddy owen ulichotewa mbeiby
Okla ntulele
Okla ntulele
Kwenye beat umeokoka unahubiri
Na ulifanya mimba iwe siri
Mbona yangu ilikua hivo nikaitwa kafiri
Na bado mnauliza mbona siko kwa injili
Siogopi mkisema nimeshaskia tayari
Maneno yaniwezi yananifanya ng’ang’ari
Na tena hewala kwa kila hali na shwari
Muda upo salama ndio wa hatari
Mi ni stima naogopwa kama kifo
Wakiskia Bahati akili zinaingia default
Mi na vibe mi ndio bob Marley
Bao ya ronaldo wakojoe walale
Mi ndio bumps mtaslow down
Mi si wakukam mi ni born town
Yeeeh
Ni Fikra za Bahati
Kwenye Love Like This
You know fam thank you for the support
But I had to give you my thoughts
Before the big Album
Love like this Album
Listen to this
Stream
Wait for this best best Album
“Love Like This”