Dear Ex Remix ft. Mejja Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Dear Ex Remix ft. Mejja - Bahati
...
usinifungue roho kama yule wa before.
okwonkwo bahati dear ex
nlipokosa nisamehe
ulipokosa nkusamehe
na maisha yaendelee
nlipokosa nisamehe,ulipokosa nkusamehe na maisha yaendelee
marafiki zangu wanaulizia wanaulizia
ndugu zanugu wanaulizia yule wa zamani
pastor nganga anaulizia anaulizia
majirani wanaulizia wanaulizia yule wa zamani
(mejja)
nimemiss sauti yako ndani ya nyumba
nimemiss nikishanifu shash na wewe unafunga
nimemiss tukioga pamoja
nimemiss ukipika me naoja
nimemiss familia
nimemiss manzi yangu
ulikua beste yangu
advice za mabeste ndo ulisikia
walikuchocha ukavunja familia
but I hope mahali uko unafurahiya
pole bado naenda moto wako
ukiwa na shda usiogope kusema
maisha yako mi nakutakia nema "okwonkwo"
dj kanzo anaulizia anaulizia
mama khadija anaulizia anaulizia
willy tuba anaulizia anaulizia
governor joho anaulizia anaulizia yule wa zamani
you never took your time to know me to time know me
you never took your time to understand to understand
you never took your time to know me time to know me
girl loving you is ever had loving you is ever I ever had
natami siku zile his zangu zinanikosea
hata nikwone ukiwa nate tunawaombea
natami siku zile hisia zangu zinanikosea
hata nikwone ukiwa naye ninawaombea
nina kageni anaulizia anaulizia
emali havi anaulizia anaulizia yule wa zamani
wa kideo anaulizia anaulizia
ata otile anaulizia anaulizia yule wa zamani
homie huruma anaulizia anaulizia
mutua anaulizia anaulizia
mama seed anaulizia anaulizia yule wa zamani
kiuni anaulizia anaulizia
mwandeka anaulizia anaulizia
kwetu mathare wanaulizia wanaulizia yule wa zamani
(mejja)
sikia sauti
mama mejja anaulizia anaulizia
kamau wa pango anaulizia anaulizia pengiting wa zamani