Jeshi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Jeshi - Harmonize
...
sometimes watch your dream can be listened
na huwezi kuvuna usichokipanda lets god forgiven
sikuwa na umeme wala cable
jeans moja tishet na yebo
et leo namiliki lebo(lebo konde gang lebo)
sikuzote kisichokuua kitakufanya uwe ngangarii
hata mwanga hauwezi kumjua so ishi nao kwa tahadhari
my sister sikuizi shep wananunu so pambana upate salary
ila usisahau pesa maua so ukikosa hata usijalii
......
one love kwa wanang wa kitaa
two love kwa wanafiki wa insta mnafanya niongeze bidii
three love kwa master na ritha mlinifanya hasira zizidi
four loov njia ngumu nlizopita mkanipa na jina mkasema niitwe jeshi
jeshiii konde boy jeshi