Gubu ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Gubu (feat. Alikiba) - Killy
...
killy ft alikiba
.............
VERCE 01:
hasira hasira za nn naomba
urudishe moyo wako nyuma naathirika mie , kwani eeh kwanini eeh .
njoo tuzifute tofauti zetu mi nawe , mi sitokubali adhabu penzi Ile silioni (silioni)
Leo nimegundua ulinishusha daraja nlintia huruma dhahiri kweli vile nlitanga Tanga kukicha nilikosa nini honey . (lololoo)
CHORUS:
Hadharani kumbe bado namshika mkono ambaye, baba nanii naye anajilia yoyo oh ooh,
hata nanii gubu la nini Mama mamaye kisirani funzo sofunzika màmà ooh
aah eeh matatizo gubu la nini Mama eh eh eh ye ye ye yoh oh oh , yeeh matatizo gubu la nini Mama eh eh eh ye ye ye yoh oh (ae ae)
.....killy.....killy......killy.....x3) x2
VERCE 02:
Ah . adhabu killy jinsi alivo nichanganya sioni sisikii nimejaribu nimekwama
hata juzi juzi alilewa sana akalala bar vile vile mi nilimpenda kweli ooh o o o o o
kama ana mapepo Pepo ya baharini shida shida shida Gani oh hivo ndo alivo uwooh oh
hadharani kumbe bado......