Leila ft. Kidum Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Anayetaka hapati aliyejaliwa hakidhamini
Hakika mwanamke akipenda kweli atapigana vita vyote iinusuru penzi
Hivi unampendea nini wakati kila kutwa anakuliza
Unangangania nini ni Dhahiri subira heri haitovuta
Wanaume wengine nikama nguo nzuri mwilini haikai
Hawamaanishi kile wasemacho ni waongo hawafai
If I was your lover ningedhamini penzi lako
Unastahili boraa mwanamke anahitaji matunzo
Leila Leila ungekuwa wangu ningekupenda ipaswavyo
Leila Leila ungekuwa wangu ningekupenda ipaswavyo
Changu chako chako changu me nawe, na wewe
Tena niache utoto kutwa kucha machangu nikuoe
Nitakuwa shujaa wako ntakuliwaza ntakufariji mama
Ukinihitaji mama nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako ntakuliwaza mama ntakufariji mama
Nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako ntakuliwaza mama ntakufariji mama
Nipigie simu yangu
If I was your lover ningedhamini penzi lako
Unastahili boraa mwanamke anahitaji matunzo
Leila Leila ungekuwa wangu ningekupenda ipaswavyo
Leila Leila ungekuwa wangu ningekupenda ipaswavyo
Leila Leila ungekuwa wangu ningekupenda ipaswavyo
If I was with you Leila
If I was with you Leila
If I was with you Leila
If I was with you Leila