Asali ft. Beka Flavour Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Asali ft. Beka Flavour - Chemical_Tz
...
iyo paaaa
its chemical (beka Flavour)
.....
penzi ukalibeba kama boikana
siwezi kuondoka siwez kusepa anaa
kwako nasarenda mi matekanaaa
vile unanifanya unanichanya
your the only one,,only wangu
twende tuka chill mi na wewe bambu
sina ishu wewe ndio ishu yangu
ukiniita kimamii nakuita kibabuu
umeniteka naona raha tuuu
sitaki kuimba sitaki rapuuu
maneno mingi vishakunakuu
sina macho kwa wengine naona
ka uchafuuu!!!!
umenitekaa naweweseka(baby)
watanizikaa kwako nishadata
I'm going crazier
mmmmmmh(asali)
penzi unalinipa nichepuke vipiii
nimekushika umenikamata
nimeng'ang'ania kwako sibanduki
sina mali unanipenda wanauliza vipi
wai kwangu umenga'ang'ana vinawakereketa wapambe nuksi
chorus
tunaishi kwa imani (chemical)
haturudi nyuma,,(chemicali)
milele daima,,(chemicali)
tuzidi pendana,,(chemical)
Tule dagaa tulale njaa tukose chapa
tutakomaa tutakaza fedha hazikidhi
haja niite karibu baby najaa
nipe mapenzi nipe radha nyinginyingi
bao lako we na mi la ushindii
nikushike simamishe ndindindi
aaaaah,,umeniteka naona
rahaa tutu
sitaki kuimba sitaki rapuuu
maneno mingi vishakunakuu
sina macho kwa wengine naona
ka uchafuuuu
hahaha!! umeniteka naweweseka
(baby) watanizikaa kwako
nishadata I'm going crazier
(kwako nishadata I'm going crazier
mmmmmmmmh(asali)
penzi unalonipa nichepuke vipi
nimekushika umenikataa
nimeng'ang'ania kwako sibanduki
sina mali unanipenda wanauliza vipi
wai kwangu umenga'ang'ana
inawakereketa wapambe nuksi
chorus
tunaishi kwa imani,,(chemicali)
haturudu nyuma,,(chemicali)
milele daima,,,(chemicali)
tuzidi pendana,,(chemicali)
tunaishi kwa imani)umeniteka
haturudi nyuma)mi naweweseka
milele daima) penzi watalizikazika
watanizikazikaaa
call me chemical
.......
iyo dasi mahinda umenitekateka
baby kill them,,baby kill them
babi kill ndemu
...........
by jacklove %