Utu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Utu - Alikiba
...
You're Sweet like Pipi mamaa
l can fight ,l can kill someone For 'u
Because am in a danger zone oooh noo
This feeling feeling that am feeling is toooo muuch
l see future ,Life with you is so brighter, Nakupenda Sana you that.l will die for you.
(Oooh) sweetheart life with 'u is soo sweeta Nakupenda Sana u know that (×2)
Yeah ...na hakuna kipi kwenye dunia oooh my love ,na ndo maana tamaa na zizuia oooh my love...Natupa elfu Kwa miaaa ili ni Spot ,,
Ila weee pekee nimekuchagua
l swear to God
Naumebarikiwa utu na utulivu(×2)
licha ya upole,na uzuri na (utu na utulivu) umebarikiwa(×2)
siku zote maumivu maumivu yapo kutufunzaaa..
Tukitapa furahaa jinsi gani ya kuitunza ,huku nyumba hukumu hukumu zilinisha nikumba Kwa mateso ya kungagania upendo usipopendwa
Nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa sasa napewa Amani mapenzi isiyo na mipaka
Ananiganda huku mabegani ananishika na hamu
Masaji mgonginiii ya nanilivyia makopo
Na hakuna kipi kwenye dunia ooh my love na ndo maana tamaa na zizuia na tunapa maelfu Kwa mamia in the spot