The Waiting Is Over Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
The Waiting Is Over - Msodoki Young Killer
...
[Intro:]
He- Eh bwana eh
>>Dapro on the track<<
[Verse 1:]
Ayo! hater popote ulipo 'hands in the air
Sio kwamba sikupendi ila 'sitaki mazoea
Tunakumbushana kuwa kimefika ulicho ngojea
Sasa ukitaka upambane na hali yako-
The waiting is over 'wanangu wa mtaa wali-miss slogan
Mashuti fulani ya mbali kama Haruna Moshi Boban
Na kwa Air Jordan mwendo wa kutoa nikipokea
Usinitishie kutoa shuzi kwa hasira ndugu utajinyea
Thanks for coming, mnaweza kwenda 'leave me alone
Tajiri hubaki tajiri akijifanya maskini
Na huo ndio ukweli wa moyoni ambao utabakia kuwa siri mpaka tumjue aliompaga nauli Mkopo kasafiri
Ni akili kumkichwa 'nani ananitisha na mungu yupo?
Nauli yenu inaishia hapa kwahiyo tusifike huko
---
Eh bwana eh
Ayo! makubwa' madogo yana nafuu, wana sound ka wana flu
Yaani what it is, what it does, what it do?
Embu nipe pass mi ni nyooshe miguu
(? greatest enemy?)
Yaani kufa au kupona, kuchana au kushona
Macho mengi yanatazama ila machache yanaona
Kwahiyo ukinisoma nakusoma 'kama noma na iwe noma
Ina huzunisha anayetakiwa kupooza akikwambia "koma"
Ona mungu yupo nasi 'ila tatizo ndio hawa chatu
Mama alisema "kua uyaone wabaya watu"
Mwenyeji njoo mgeni apone hizi saa chafu na vimeundwa sasa
Hapo usivione vimekaa rough
Mbele mtiti, nyuma ntiti 'yaani kila track na murder dem
Ukweli hauburudishi acha niwape respect, goddamn
Kila young' msodoki
Pita google search my name 'ukipata picha nikupe na (?)
Your brother from another mother toka Mwanza niite shooter yaani sniper
Ile ki father na hakuna kukaa na mimi kwenye cypher
(?) Mtu muhimu kwenye taifa na ndio naanza wapi (?)
Nipo na ntakuwepo kama my brother Mr. Blue Byser
Life is too short na muumbaji huwa hakosei
Na valentine kwetu usiku tu mapenzi kila day
Sensei hey, rasta 'huwezi pata uki-delay
Vitendo tu na sasa siongei (Okay)
Ayo' what's up my people?
Hands in the air! popote ulipo it's your boy Msodoki anaongea
Tunakumbushana kuwa kimefika ulicho ngojea
Sasa ukitaka upambane na hali yako-
The waiting is over 'wanangu wa mtaa wali-miss slogan
Mashuti fulani ya mbali kama ya Kelvin Yondani
Na kwa Air Jordan mwendo wa kutoa nikipokea
Eh bwana eh
Yeah
Eh bwana eh
Tumewarudisha darasani 'wapate mapinduzi ya akili (Yeah man)
Mungu anajua kila mtu atakuwa nani (Yes)
Na kuweza hauwezi kunitabiri
Na lengo sio ku-make it rain 'jamii kupata knowledge
You can't know my brain, hata ukisoma psychology
Na introduce new formula street wananiita-
Eh bwana eh