Loading...

Download

Boomplay Yashirikiana Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

Boomplay Yashirikiana Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, Boomplay imeshirikiana na Kampuniya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada zakuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania.


Ushirikiano huu unawapa fursa wateja waHalotel kupata intaneti bila malipo na vifurushi vya kujiunga ili kusikilizamuziki bila kikomo wakiwa na uhuru wa kusikiliza maudhui ya kulipia Boomplay kwabei iliyorahisishwa. Wateja wa Halotel wanaweza kupata vifurushi vya intaneti vyakila siku vya TZS 500/- na bonasi ya 100MB, bando la wiki la TZS 2,000/- nabonasi ya 300MB na bando la kila mwezi la TZS 6,000/- na bonasi ya 500MB.


"Ushirikiano huu ni hatua nyinginemuhimu katika azma yetu ya kuhakikisha muziki unapatikana kwa urahisi zaidi kwawatanzania wote kupitia Mamilioni ya wateja wa Halotel, naamini ushirikianowetu unatoa fursa nzuri ya kuwakaribisha wapenzi wa muziki karibu zaidi na nyimbozao pendwa, podikasti na maudhui mengine mengi yaliyomo kwenye App yaBoomplay,” alisema Natasha Stambuli, Meneja Mkuu wa Boomplay Tanzania.


Akizungumzia ushirikiano huo, Mkurugenziwa Biashara wa Halotel, Abdallah Salum alisema, “Kama moja ya watoa huduma waintaneti yenye kasi zaidi nchini Tanzania, tunapenda kutumia fursa hii kuwapawateja wetu vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu kutoka mtandao wa Halotelulioenea maeneo mengi nchini kwa kuwawezesha Watanzania kufurahia maisha yakidijitali. Kupitia ushirikiano huu, wateja wetu sasa wanaweza kufurahia muzikiwanaoupenda kupitia App ya Boomplay kwa kutumia vifurushi vinavyotoa thamani naurahisi.


Wateja wanaweza kufurahia usikilizajibila matangazo na upakuaji bila kikomo wa mamilioni ya nyimbo kutoka kwawasanii wanaowapenda kupitia App ya Boomplay kwa bei iliyorahisishwa baada yakununua vifurushi vya Halotel Boomplay. Kwa wale ambao hawako kwenye mtandao waHalotel wanaweza kupata laini ya Halotel kwenye maduka yao yaliyoko nchi nzimana kupakua App ya Boomplay ili kupata huduma hiyo.

Watumiaji wa Boomplay Halotelwanahimizwa kuboresha App yao ya Boomplay hadi toleo la hivi karibuni zaidi ilikufurahia matoleo mapya ya App.

Comments (17)

0/500

    New Comments17

    jay7 Dhebesti muzic Afrca

    @BALOGE TV:

    https://audiomack.com/renatusileonadi3/song/jay-7-twende-1?key=jay7audio

    BALOGE TV:

    Kwa Huduma za Usajili wa Laini za Halotel M check mwamba huyu Hapa Singida no.+255714464000 / 0612738757 Utasajiliwa Lain ya 4G pia kama Lain yako ni 3G inapandishwa kwenda 4G wahi chap ili u Enjoy ma song ya Boomplay Welcome Dodoma no. +255712990561

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Paskal Mkatashauri

    @BALOGE TV:

    Unyama sana

    BALOGE TV:

    Kwa Huduma za Usajili wa Laini za Halotel M check mwamba huyu Hapa Singida no.+255714464000 / 0612738757 Utasajiliwa Lain ya 4G pia kama Lain yako ni 3G inapandishwa kwenda 4G wahi chap ili u Enjoy ma song ya Boomplay Welcome Dodoma no. +255712990561

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    0685186024

    kiribuni tukuhudumie 0685186024

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Abraham kamara f9l3a

    Remaxs boi

    Liberia

    Abraham kamara f9l3a

    Image | Boomplay Music
    Liberia

    157860792

    anshilv[0x1f641]

    Gif | Boomplay Music
    India

    153859934

    lukas

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    BALOGE TV

    @BALOGE TV:

    Kwa Huduma za Usajili wa Laini za Halotel M check mwamba huyu Hapa Singida no.+255714464000 / 0612738757 Utasajiliwa Lain ya 4G pia kama Lain yako ni 3G inapandishwa kwenda 4G wahi chap ili u Enjoy ma song ya Boomplay Welcome Dodoma no. +255712990561

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    BALOGE TV

    good

    Tanzania

    simion Joseph clray

    habar zen jamn

    Tanzania

    157595795

    kilele4real Tz :

    https://www.boomplaymusic.com/share/music/118081181,srModel=COPYLINK&srList=ANDROID ndio habari ya mjini now . download kisha streams mara nyingi kadri uwezavyo

    India

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status