Loading...

Download

#MyBoomplayRecap2022 HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022)

Mwaka wa 2022 umekua mwaka mzuri kwangu kwa upande wa burudani ya muziki kupitia app pendwa ya Boomplay.
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Mwaka 2022 nimesikiliza nyimbo 161,162 na nimetumia dakika 328,500 kusikiliza nyimbo hizo.
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Nyimbo zangu pendwa kwa mwaka 2022 ni Kama ifuatavyo:
1.Mmuo Nso Bilie
2. Umenituliza ft. Rooservert Tz
3. Umeniweza
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Wasanii niliowasikiliza kwa mwaka 2022 ni wasanii 481 pia nimetafuta wasanii wapya 273.
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Msanii wangu pendwa niliowasikiliza sana kwa mwaka 2022 ni Plank Wizzo kutoka Tanzania ambae nimesikiliza nyimbo zake mara 58,162.
Plank Wizzo
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Mwaka 2022 nimekua fan mkubwa wa muziki wa Bongo Flava, Afropop na Afrobeats.
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Neno ambalo limeonekana Mara nyingi kwenye nyimbo nilizosikiliza ni "LOVE".
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Mwaka 2022 nimekua nikipenda kusikiliza nyimbo mapema sana wakati wa asubuhi.
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Katika siku ya tarehe 10 April,2022 nilitumia dakika 850 kusikiliza muziki na nilitumia dakika 748 kusikiliza intro ya mwanamuziki Plank Wizzo.
Intro
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Wimbo wa Kwanza kuusikiliza ilipofika tarehe 1 January, 2022 ulikuwa ni wimbo wa kilometer wa Burna Boy.
Kilometre
'MyBoomplayRecap2022  HII HAPA (This is My Boomplay Recap 2022) Kwa upande wa subscribe nimekua subscriber wa premium kwa muda wa siku 365 na nimefurahia nyimbo 98,087 za premium.

Unaweza kusikiliza My Boomplay Recap 2022 playlist hapa chini.
My Boomplay Recap 2022
Je wewe kwa mwaka 2022 ni msanii yupi umemsikiliza mara nyingi, ni wimbo upi umemsikiliza mara nyingi?

#MyBoomplayRecap2022

Comments (18)

0/500

    New Comments18

    Boom Technology

    Very interesting post

    Tanzania

    Ajuaye Ananiaaroir

    mwaka 2022 ukuwa mzuri kwa upande wa uchumi mpka nimefanikiwa kuhamia kwngu

    Tanzania

    Salimuhassani

    ilil86 N8 the

    Tanzania

    Emmanuel risasi

    balbum the m.v.p

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Maina mugechi

    woow

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status