Takeoff afariki kwa kupigwa risasi
Mtandao wa TMZ kutoka Marekani umeripoti kuwa Rapa Kirshnik Khari Ball (28) maarufu kama Takoff ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaounda kundi la MIGOS, amefariki baada ya kupigwa risasi huko Houston, Texas nchini Marekani na kufariki papo hapo.
Imeelezwa tukio hilo limetokea majira ya saa nane na nusu usiku, ambapo Polisi walipokea simu ya mtu kupigwa risasi wakati Takeoff na Quavo wakiwa kwenye eneo la tukio wakicheza mchezo wa kete wakati ugomvi ulipozuka na ndipo mmoja alipofytatua risasi inayosemekana kumpata Takeoff kichwani na umauti kumfika popo hapo.
#Trending #RIPTakeoff
Comments (39)
New Comments(39)
Kelvin Mulokozi
neema johndb5i8
pumzika kwa amani
Jennifer mwakyusa
Daah inauma sana[0x1f614]pumzika kwa Amani dearmhuu
kmkomangi@gmail.com
duh ! Ameenda zake mwamba
Janet magerok7wtj
[0x1f653][0x1f653][0x1f653]rip
MGAYA KAZUVI
RIP
emiles merlin
[0x1f615]
Zabelaidrc5
Rip
fatherg4kw7
rip
hilary nataig1k4i
rip
Anneykyshery
Pumzika kwa Amani
R.i.p