Loading...

Download

Harmonize: Hakuna press conference, listening party wala media tour

Harmonize: Hakuna press conference, listening party wala media tour

Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize amesema kutofanya promotion yoyote ya albamu yake mpya anayotarajia kuiachia Ijumaa ya Oktoba 28, 2022.


Harmonize amebainisha hayo kupitia insta story yake ambapo amesema ameshafanya kila kitu studio hivyo anataka mashabiki wasikilize muziki mzuri aliouandaa na kuongeza kuwa ikiwezekana ataishare mara moja tu kwenye platform zake.

Harmonize: Hakuna press conference, listening party wala media tour

Amesema hapatakuwa na press conference, listening party, media tour na vinginevyo.


Nini mtazamo wako kwa uamuzi huu wa Harmonize?


#Trending #Harmonize #Music

Comments (7)

0/500

    New Comments7

    ZER0uicsb

    nice

    Romania

    Yusla Elias

    kujiamini ni vizuri[0x1f627]

    Tanzania

    BerryNipeys

    Beautiful

    Nigeria

    Mjuba 99

    Jeshiiiii

    Tanzania

    Tico de genius hcjs3

    Semaaa konde anatumiaa sanaa upepo wa wcb

    Tanzania

    Peter Paul Tz5djih

    anajiamini sana, Lakini isipofanya vizuri nafikiri atajilaumu

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status