Loading...

Download

Mbosso aanika siku ya uzinduzi wa EP yake mpya

Mbosso aanika siku ya uzinduzi wa EP yake mpya

Staa wa muziki kutoka WCB Wasafi, Mbosso ametangaza rasmi kufanya uzinduzi wa EP yake mpya Alhamisi hii, Oktoba 27, 2022.


Mbosso ametanabaisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema atafanya uzinduzi huo katika fukwe za Barra Beach, Dar es salaam.


"Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz “ Bahari Beach” Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki Mbalimbali , Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako…ila je, we Unadhani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?" Mbosso ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Kwa mujibu wa Mbosso, hii ndiyo project yake atakayofungia mwaka huu wa 2022 lakini hajabainisha jina wala idadi ya nyimbo zitazokuwa ndani ya EP hiyo.


Nini mtazamo wako?


#Mbosso #Trending #Music

Comments (2)

0/500

    New Comments2

    GSU CEO and Company Limited

    anajua huyoo dogoo

    Tanzania

    ZiO Drop®

    fundii[0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status