Zuchu aongoza wasanii wa kike wenye subscribers wengi Afrika
Tanzania
1
Kwa mujibu wa mtandao wa Top Charts Africa, Zuchu kutoka Tanzania ndiye msanii wa kike barani Afrika anayeongoza kuwa na subscribers wengi zaidi katika mtandao wa YouTube akiwa na subscibers milioni 2.29.
Mtandao huo umetoa orodha ya wasanii nane paekee barani Afrika. Wasanii wengine Yemi Alade (2.10M), Sinach (1.97M), Adaehi Moses (1.46M), Tiwa Savage (1.14M), Nandy (1.11M), Simi (0.87M) na Diana Marua (0.78M).
#Trending #Music
Comments (1)
0/500
New Comments(1)
marizaka
Great