Macvoice kuachia EP yake mpya
Tanzania
1
Msanii wa muziki kutoka lebo ya Next Level Music, Macvoice huenda akaumalizia mwaka 2022 kwa kuachia EP yake mpya.
Macvoice amedokeza ujio wa EP yake hiyo na kubainisha kuwa ataiachia hivi karibuni.
< script async="" src="//www.instagram.com/embed.js"> script>
"My Ep is coming soon," ameandika Macvoice kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo EP hii itaenda kuwa EP yake ya pili katika safari yake ya muziki kuiachia baada ya ile kwanza iliyotoka Septemba 2021 inayofahamika kwa jina la 'My Voice'.
#Macvoice #Music
Comments (1)
0/500
New Comments(1)
Kaiser Blay
twaisubiri hiyo maana you are always doing best hits..