Loading...

Download

Killy na Cheed waondoshwa Konde Gang

Killy na Cheed waondoshwa Konde Gang

Uongozi wa Konde Music Worldwide maarufu kama Konde Gang umetangaza rasmi kusitisha mikataba na wanamuziki waliokuwa chini ya lebo hiyo, Cheed pamoja na Killy kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wao.


Lebo hiyo ambayo leo imetimiza miaka 4 tangu kuanzishwa kwake Oktoba 10, mwaka 2019, iliwasainisha Cheed na Killy Septemba 2020 wakitokea lebo ya King’s Music ya mwanamuziki Alikiba.


Wasanii hao wamedumu kwa kipindi cha miaka miwili tangu kusainiwa chini ya lebo hiyo.

Killy na Cheed waondoshwa Konde Gang

Wakiwa Konde Gang, Cheed na Killy kila mmoja amefanikiwa kutoa EP yake na kumshirikisha Harmonize. Cheed aliachia 'Endless Love', huku Killy akiachia 'The Green Light'.


Nini utakumbuka kutoka kwa wasanii hawa wakati wakiwa Konde Music?


#Trending

Comments (16)

0/500

    New Comments16

    jimmy kajoller

    konde gang waache uwongo basi inaama ata awo jamaa wakipatwa na misiba pia awata husika ama ndio mikataba yakiswahili ikiisha na undugu unaishaa

    Tanzania

    Loveness Godlove

    ndio kwanza nawasikia leo sinawahi hata kiwasikia

    Tanzania

    Angel xz2l5

    Mung awajaaliee

    Tanzania

    beate22

    tunawatakia safari njema

    Tanzania

    King tony 09i1o

    Ilikuwa sio sehem sahihi kwao mana promotion ya mziki wao it was very inadequate to them [0x1f637]

    Tanzania

    rayyanpzfnr

    mungu awasaidie

    Tanzania

    @issa_og

    laana za kiba znawatafna[0x1f604]

    Tanzania

    chefcooker

    afadhali maan future yap ya mziki ingekufa zaidi wakiwa pale,,hawapewi time na promotion kama anavyojipa harmonize mwenyew,ye kila week nyimbo alaf wasanii wake hata miezi sita hakuna kazi na hata wakitoa kazi bado ana wa ingilia kati na .yeye anatoa ngoma kabla ngoma za wasanii hazijafika mjini

    Tanzania

    Jesca Robert8ea49

    Acha waende mana mm nilikua sion umuhim wa likua tu wanatujazia choo kwa konde wetu

    Tanzania

    Ngassa Edward

    acha nao

    Tanzania

    femaleflkvx

    CHIBA 47

    Tanzania

    femaleflkvx

    waludishwe konde gang wana vipaji

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status