Listen and download music for free on Boomplay

Alikiba atangaza tarehe ya kuanza ziara yake ya muziki!

Boombuzz Tanzania

Staa wa muziki nchini Tanzania, Alikiba anatarajia ametangaza ujio wa ziara yake ya muziki jijini Mwanza Desemba 17, 2021, ambapo akiwa huko atazindua moja kwa moja albamu yake ya 'Only One King'.

Albamu hiyo mpya yenye mwezi mmoja tangu itoke rasmi, tayari watu zaidi ya milioni 19.5 wameisikiliza kwenye app ya Boomplay.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Alikiba ameandika: "Kila nikifika Rock City Mwanza, Mapokezi yanakuwa ya kipekee sana, Mwanza ni mji wa burudani. Natambua na kuthamini support yenu kwangu."

View this post on Instagram

A post shared by alikiba (@officialalikiba)


#OnlyOneKing #Alikiba

Comments (19)

0/500

  New Comments19

  biba bianca

  gud gud gud gud gud gudgud gud gud gud gud gud gud vudgud gud
  Tanzania

  marizaka

  good
  Tanzania

  mamushkacom37

  Nice
  Tanzania

  belluz

  nice
  Cameroon

  99417308

  fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire is the world audio is the world audio is the firr fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire fire
  Tanzania

  supertallone

  OnlyOneKing tupo pamoja[0x1f621][0x1f621][0x1f617][0x1f63e][0x1f63b][0x2728]
  Tanzania

  maneweston

  ishaallah akupe maisha malefu
  Tanzania

  Odongo Georgealkx0

  Mungu akutangulie
  Tanzania

  128932885

  Image - Boomplay Music
  Tanzania

  MiroBlasta (Tz)

  hakuna king hapo sema tunamuheshim tu lakin kiuhalisia amesha pitwa na wakati
  Tanzania

  ally mlwilo

  Tanzania 1 ukovizuli broo
  Tanzania

  +

    -   or   -

    NG +234

      -   or   -

      NG +234

        Please Select A Playlist

        Add New Playlist

        Share on

        Embed: Love & Light EP

        Custom Size :

        • Default
        • Desktop(300*600)
        • Mobile(300*250)

        Type :

        • HTML/HTML5